SAKATA LA MAKONTENA ,WAFANYABIASHARA WAKUBWA WATAJWA,WATAKIWA KUJISALIMISHA MARA MOJA
Unaweza
kusema hawajakoma kutokana na vitendo vya ukwepaji kodi kuzidi
kuibuliwa katika Bandari ya Dar es Salaam katika kipindi ambacho Rais
John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wanachukua hatua dhidi ya
upotevu wa makontena bandarini.
No comments:
Post a Comment