16 November 2015

SABABU 4 ALIZOTAJA MHE.LOWASSA ZA KUMPINGA RAIS MAGUFULI..


Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameeleza sababu za kutokubaliana na ushindi uliomuweka madarakani mpinzani wake kupitia CCM, Dk. John Magufuli katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname