16 November 2015

KAJALA APATA PIGO,AFUNGUKA MAZITO

! Staa mwenye mvuto ndani ya Bongo Muvi, Kajala Masanja hivi karibuni alipata pigo zito baada ya kufiwa na bibi yake (mzaa mama) aliyekuwa akiuugua kwa muda mrefu huko mkoani Songea.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname