Habari zilizonifikia sasa hivi punde kutoka kwa ndugu wa karibu wa Langa
zinasema ndugu yao Langa amefariki katika hosp kuu ya Muhimbili kwa kuumwa
Malaria. Habari kamili zitawajia kwa jinsi nitakavyokuwa napewa updates.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
No comments:
Post a Comment