15 November 2015

LOWASSA ANA SIRI NZITO,AJIANDAA KUMWAGA KILA KITU

Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana hakuhudhuria mkutano wa kampeni za ubunge mjini Arusha kwa maelezo kuwa anajiandaa kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa visiwani Zanzibar.
Maelfu ya wafuasi wa Chadema jana walifurika kwenye Uwanja wa Ngarenaro mjini hapa kuhudhuria kampeni za ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ambao uliahirishwa kutokana na kifo cha mgombea kutoka chama cha ACT Wazalendo, lakini wakakumbana na tangazo kuwa Lowassa hataweza kuhutubia na badala yake atakuja siku ya kufunga kampeni hizo..  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname