15 November 2015

ITV YAKANUSHA UZUSHI UNAOSAMBAZWA NA MATAPELI

ITV inakanusha kuhusika na kutoitambua taarifa inayoonekana hapo chini na kuchapishwa ikiwa na Nembo ya ITV ambayo imekuwa ikisambazwa kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii,ni kwamba wawekaji wa nembo hii nimatapeli hivyo tunaomba muwe makini na watu hawa kwani tunawafuatilia ili sheria kuchukua nafasi Ahsanteni 

BOFYA HAPA KUONA TAARIFA INAYOSAMBAZWA NA MATAPELI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname