16 November 2015

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU


 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk.
Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM ambapo ajenda kuu ilikuwa kujadili
majina
ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philipo Mangula na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia).

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname