19 November 2015

BREAKING NEWZZZ..........RAIS DR.JOHN MAGUFULI HAKIKA HANA MCHEZO SASA KURUDISHA VIWANDA NA MASHAMBA NDANI YA SIKU 30

Kama ilivyokuwa kwenye Ilani ya CCM na namna ilivyonadiwa na rais wetu Dkt Magufuli kuwa, serikali ya awamu ya tano itakuwa ya viwanda. Siku la leo, November 18 serikali imetoa tangazo hili kwa wamiliki wa sasa wa viwanda ambavyo vilibinafsishwa kutoka serikalini.

Tangazo lenyewe ni kama linavyoonekana pichani. Jisomee mwenyewe:

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname