Mshereheshaji wa
shindano la Serengeti Premium Lager liliopewa jina la “Serengeti Masta” Razani
Kapalatu akiwa pamoja na mabalozi wa bia ya Serengeti premium Lager ambao kwa
pamoja walitoa maelezo kwa wateja wa bia hiyo waliofika kushiriki katika
shindano la kumtafuta Serengeti Masta ndani ya baa ya Ulaya Ulaya iliyopo
Manzese jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Shindano hilo limedumu jijini
Dar na mikoani kwa takriban muda wa miezi miwili sasa na kuweza kuzifikia baa
mbalimbali ambapo zawadi mbalimbali kama fedha taslim, fulana na bia za bure
zimekuwa zikitolewa katika kuwahamasisha wateja wa bia hiyo kuendelea kuwa
pamoja. |
No comments:
Post a Comment