Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea
ubunge wa jimbo la Kalambo kwa tiketi ya CCM, Josephat Kandege katika
mkutano wa kampeni a CCM aliouhutubia katika kijiji cha Samazi mkoani
Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment