Sehemu
ya wananchi wa Mji wa Karatu, wakionyesha furaha yao baada ya kuiona
Chopa inayotumiwa na Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakati
ikiwasili kwenye Uwanja wa Mkutano, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo
Oktoba 9, 2015.
No comments:
Post a Comment