Mgombea urais kupitia chama cha TLP Macmillan Lyimo amesema anaunga mkono kauli ya mwenyekiti wake wa chama Mh. Augustine Mrema ya ‘kumpigia debe’ mgombea wa chama cha mapinduzi CCM, Dk John Magufuli, kwa madai kuwa hayo ni maamuzi yake binafsi.
Akizungumza na EATV, Lyimo amesema kuwa kauli hiyo haijatolewa na mkutano wowote wa chama, bali ni maoni binafsi kwa kuwa mwaka huu watanzania wanachagua mtu na siyo chama na kwamba jambo alilofanya Mrema si jipya wa la ajabu.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment