Kada
wa chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa
mkoani Njombe jana aliwasili kwa chopa kwenye mazishi ya aliyekuwa
mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha DP Mchungaji Christopher Mtikila.
Wakati
chopa hiyo inatua katika eneo la Msiba wananchi waliacha kusikiliza
Salam mbali mbali za viongozi na kukimbilia kutazama ili kufahamu ni
nani aliyekuwemo ndipo alipoteremka Mgombea Ubunge wa jimbo la Ludewa
Deo Filikunjombe.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment