Kingunge Apanda Jukwaa la UKAWA Kumnadi Lowassa.......Asema CCM Imeishiwa Pumzi
Mwanasiasa
mkongwe na miongoni wa waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge
Ngombale Mwiru jana alihutubia katika jukwaa la kampeni za Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kusema chama tawala kimeishiwa pumzi.
No comments:
Post a Comment