Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika
Oktoba 9, 2015 katika Viwanja vya Nyabogoya, eneo la Butimba, Jimbo la
Nyamagana, mkoani Mwanza.
Wananchi wakimshangilia Mama Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia maelfu ya wananchi hao waliofurikakwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Oktoba 9, 2015 katika Viwanja vya Nyabogoya,
eneo la Butimba, Jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment