Mtuhumiwa
wa makosa ya mtandao anayetuhumiwa kusambaza katika mitandao taarifa
za uongo zinazomhusu mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama Benedic
Angelo Ngonyani (24) (wa kwanza Kulia) akiwa katika mahakama ya hakimu
mkazi ya Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka.
No comments:
Post a Comment