07 October 2015

MAMA Regina LOWASSA AONGEA NA WANAWAKE ZANZIBAR NA KUWASISITIZA WAUSUBIRI UCHAGUZI MKUU

Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa waliochukua headlines jana ni mke wa mgombea Urais wa UKAWA Mama Regina Lowassa
Alikuwa Zanzibar kuzungumza na kina mama kuhusu mabadiliko…..  akawaeleza umuhimu wakutatua matatizo yao kupitia serikali ya UKAWA.

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname