07 October 2015

WAKATI ARUSHA MAGUFULI AKISABABISHA TSUNAMI,MWIGULU NA MAKAMBA WAFANYA KAMPENI KATA KWA KATA HUKO BUMBULI



Mwigulu Nchemba na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh.January Makamba wakiwasili Kata ya Usambara kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni mapema hii leo.Wajumbe wa timu ya Kampeni ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi wakiteta Jambo.
SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname