Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za
mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu
Mchungaji Christopher Mtikila, leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa
Karimjee jiji Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji
Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika
ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment