Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo
la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani Kilimanjaro jioni ya
leo.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-KILIMANJARO.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na CCM katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment