Keki
iliyoandaliwa kwa ajili ya sherehe za miaka 65 ya kuzaliwa kwa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na miaka 55 ya kuzaliwa mdogo wake Yusufu Mrisho
Kikwete jana jioni jijini Dar es salaam. Rais Kikwete na mdogo wake
walisherehekea siku zao za kuzaliwa kwa kukata na kula keki na wajukuu
wao na wa jamaa, ndugu na marafiki waliowaalikwa kwenye sherehe hii fupi
iliyojaa furaha na bashasha.
Keki
No comments:
Post a Comment