03 October 2015

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,LEO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI




 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni.
PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname