MAMA SAMIA AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasha
mshumaa baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa,
Hayati Mwalimu Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment