03 October 2015

HAWA NDO MASTAA 12 WANAOONGOZA KWA KUACHANA NA WAPENZI WAO



Wema Sepetu na Diamond
KATI ya kundi la watu wanaoongoza kwa kumwagana katika uhusiano wa mapenzi ni mastaa, lakini kwa nyakati tofauti baadhi ya mastaa waliotengana huishia kuingia kwenye uhusiano thabiti na wapenzi wengine hadi kuoana huku zilipendwa wao wakiishia kuyumba kimapenzi au kutokuwa na mpenzi wa kudumu kiasi kwamba unaweza kuitafsiri hali iyo kwa kutumia usemi wa huku sawa, kule majanga.

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname