Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwaambia wananchi wa Karatu katika mkutano wa kampeni uliofanyika
katika uwanja wa Bwawani,kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anayempenda
kwa dhati, ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbrod Slaa,amesema
kuwa ni kiongozi imara asiyependa kuyumbishwa na kwamba ni kiongozi
mwenye msimamo thabiti na mapenzi makubwa na nchi yake Tanzania.
No comments:
Post a Comment