12 April 2015

WEMA SEPETU AFUNGUKA NA MIM NI BINAADAMU NAUMIA SANA MNAPONIITA MGUMBA


wema sepetu akifunguka Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze... Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto... Kumbukeni na mimi pia ni binaadam...
Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname