Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua Mkutano
wa Kulinda na kuendeleza Vituo vya Biashara Tanzania, uliofanyika kwenye Hoteli
ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Okt 5, 2015. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment