Wakati
leo akitarajiwa kuhutubia mkutano wa kampeni jiji Arusha, mgombea wa
urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward
Lowassa, amewataka Watanzania kukesha vituoni wakilinda kura zisiibiwe.
Lowassa
aliyasema hayo jijini Arusha jana, alipopita eneo la Ngaramtoni, Jimbo
la Arumeru Magharibi na kuzungumza na wananchi kabla ya kuendelea na
ziara yake kwenye Jimbo la Longido na Namanga.
No comments:
Post a Comment