Mgombea Ubunge ‘Aliyetekwa’ Mtwara Apatikana.......Ndugu Wasimulia Tukio Zima, Polisi Wasema Wanachunguza Kama Ni Kweli Au Lilipangwa
Mgombea ubunge jimbo la Mtwara Mjini kupitia CHADEMA, Joel
Nanauka alipotea katika mazingira ya kutatanisha tangu juzi na
kukutwa ametupwa nje ya mlangoni wa jengo la Kliniki/kituo cha afya
hapo Mtwara.
No comments:
Post a Comment