08 October 2015

Baada ya DK CHENI Kutangaza Ndoa, Mama LULU Ampa Bintiye RUKSA Kuolewa KIISLAM!


Staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na mamaake.
MAGEUZI! Mama mzazi wa staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ametoa baraka kwa bintiye huyo ambaye kiimani ni Mkristo, kufunga ndoa ya Kiislam kwa madai kuwa ndoa si dini bali ni utu wa mtu.   


BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname