Waziri wa Nishati na Madini,George Simbachawene amewataka wanasiasa kutotumia mgawo wa umeme kama turufu ya kisiasa. Waziri Simbachawene amesema umeme ni jambo la kitaalamu na si la kisiasa. Amesema uzalishaji na usambazaji wa umeme ni suala la kitaalamu.
No comments:
Post a Comment