Maharusi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na wageni waliohudhuria kwenye harusi hiyo.
Wachekeshaji wa kundi la Ze Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' na Mc Legan wakicheza na Bi harusi.
Masnja Mkandamizaji
na Bwana harusi ambaye ni Muandaaji wa vipindi vya kundi la
wachekeshaji la Ze Orijino Komedi 'OK', Sekione David 'Seki'.
Masnja na wageni waalikwa
Bw. harusi Seki (katikati) na wageni waalikwa.
No comments:
Post a Comment