Tarehe 09 October 2015 zikiwa zimebaki siku 15
watanzania waweze kuwapigia kura viongozi wao, Dkt. Magufuli ameonekana
kuzidi kuaminika na kukubalika kila jimbo analotembelea kwa shughuli
zake za kampeni. Jana Tarehe 09 Dkt. Magufuli alikuwa Bagamoyo
alipofanyia mkutano. Dkt. Magufuli ameahidi kuhakikisha Bagamoyo inapata
Bandari ya kisasa, Kiwanda kikubwa, kuongeza fursa za ajira kwa vijana
na wakina mama...
Dkt.
Magufuli hakusita hata mara moja kusimama na kuwasikiliza wananchi kila
sehemu ambayo wananchi walikuwa wamejikusanya na kumuomba asimame,
wapate kumueleza matatizo yao na kuomba awasaidie.
No comments:
Post a Comment