03 October 2015

MAJAMBAZI WAVAMIA NYUMBANI KWA NEY WA MITEGO

 
Watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia leo walivamia nyumbani kwa Nay wa Mitego.Nay ambaye yupo mikoani kwa sasa katika kampeni za siasa, ameiambia Bongo5 kuwa hana ugomvi na mtu yoyote na tukio hilo limemwacha kwenye dillema.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname