Siku
chache baada ya chama cha ACT-Wazalendo kutoa tamko rasmi kuwa
hawataweza kumruhusu Dk. Wilbroad Slaa kupanda kwenye jukwaa lao kumnadi
mgombea urais wa chama hicho kwa sababu za kiusalama, jana mwanasiasa
huyo ameanza rasmi kumpigia kampeni mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk.
John Magufuli.
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
BOFYA HAPA KUSOMA YOTE
No comments:
Post a Comment