Josephine
Mushumbusi, mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa anadaiwa kula bata za hatari
nchini Marekani (United States of Amerika au U.S.A) akiwa na familia
yake, Amani limenyaka maisha yake nyuma ya pazia. Ishu
hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tangu Josephine alipoibua gumzo kubwa
ndani na nje ya Bongo baada ya kuanikwa mambo yake ya siri na Askofu wa
Kanisa na Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akimtuhumu kumteka mumewe,
Dk. Slaa na kumshawishi kuachana na siasa.
No comments:
Post a Comment