![]() |
| Lowassa na Magufuli |
Vyama
vyote vya siasa vimekubali kufanya mdahalo wa wagombea wa Urais kwenye
vyombo vya habari lakini vyama vinavyounda UKAWA vimekataa
kushiriki
kwenye midahalo hiyo kwa kutoa sharti moja la kutomshirikisha mgombea
wao na badala yake waende wenyeviti wa vyama.

No comments:
Post a Comment