Staa
wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi Bongo, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’
akiwa kwenye jengo la Taasisi ya Freemason lililopo Posta jijini Dar.
BALAA!
Staa wa muziki wa asili na mtunzi wa mashairi Bongo, Mrisho Mpoto
‘Mjomba’, juzi alinaswa na makamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM)
kwenye jengo la Taasisi ya Freemason lililopo Posta jijini Dar na kuzua
viulizo.
Makamanda wetu walipewa taarifa na mtu wa karibu na eneo
hilo kuwa msanii huyo alionekana akirandaranda kwenye jengo hilo pasipo
kujua lengo la kwenda mahali hapo ni lipi kama si mfuasi wa taasisi
hiyo.
No comments:
Post a Comment