Wakuu kweli siasa ni mchezo mchafu ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza
katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua
wafadhili wake hatimaye Dr. Slaa amepotea kwenye siasa za bongo kama Mtu
aliyezombwa na mafuriko ya mtu huku anacheka hovyo kumbe anaenda
kilindini tayari kwa kifo....
Nadhani Prof Lupumba Amejifunza Mengi na Aendelee Kukaa Kimya Huko Alipo
Akisubutu Kufungua Mdomo bila kufikiria Impact yake ajue nae
Atasahaulika....

No comments:
Post a Comment