22 September 2015

KUMWONA LIVE MTOTO WA DIAMOND UTALIPA SHILINGI NGAPI?? JIONEE HAPA


 Septemba 20 ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya Diamond Platinumz na mashabiki wake waliposherehekea siku ya 40 ya mtoto wake ‘Tiffah’ tangu alipozaliwa.Sherehe hiyo pia iliambatana na kuoneshwa hadharani kwa mara ya kwanza kwa mtoto huyo ambaye amekuwa maarufu na milionea akiwa bado mchanga.  




No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname