22 September 2015

MAMA YAKE DIAMOND PLATINUMS AFUNGUKA KUHUSU MJUKUU WAKE


Diamond akiwa amembeba Tiffah  
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake kudaiwa si damu yake. 

BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname