
Mgombea
urais iliyesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ametua
katika Jimbo Singida Kaskazini la Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazoro
Nyalandu, huku akiwatahadharisha wananchi wasipompigia kura za kuitosha
kuiondoa CCM madarakani watakuwa wamejiangamiza.
No comments:
Post a Comment