MVUTANO!
Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana
kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya
mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil.
40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto,
Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
No comments:
Post a Comment