Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa
Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni
za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba
13, 2015
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa
Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama
hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015http://jmabula.blogspot.com/2015/09/gharika-ya-watu-yashuhudia-uzinduzi.htmlsoma zaidi
No comments:
Post a Comment