Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo
mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji vyake jioni ya
leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika uwanja wa shule ya
sekondari Chato mkoani Geita.
Wakazi wa Chato na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na
kuomba ridhaa mbele yao jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari chato mkoani Geita.


No comments:
Post a Comment