Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani humo leo Sept
20,2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu
mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan
Salim Pannja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo Tukuyu Mkoani
Mbeya.
No comments:
Post a Comment