Jamaa maarufu kwa jina la Hassan Baunsa Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha HATARI! Jamaa maarufu kwa jina la Hassan Baunsa ambaye ni baunsa wa mwanamuziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf ‘Mfalme’, amenusurika baada ya kupigwa risasi na shabiki aliyefahamika kwa jina mmoja la Kev, Ijumaa Wikienda lina mkanda kamili.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment