08 June 2015

DENTI CHUO KIKUU ANASWA, AVULIWA NGUO, ANUSURIKA KUFANYIWA KITU MBAYA!

Mwizi maarufu alifahamika kwa jina la babuu pichani akiwa amewekwa chini ya ulinzi na raia wenye hasira kali.
Babuu pichani akitoa maelezo baada ya kupewa kichapo na raia kwa madai ya kuiba laptop aina ya Apple.
Mwizi huyo akiwa nje ya chumba alichofanyia uhalifu na kuonyesha baadhi ya vifaa alivyoiba.

Raia wakimhoji babuu baada ya kumkamata na laptop.

Mwizi huyo akiendelea kupokea kichapo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname