Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa katika pozi na Siwema Edson. Kilidai
kwamba hivi karibuni, mmoja wa dada wa Siwema (jina linahifadhiwa)
amekuwa akimpigia simu Nay akimuomba arudishe moyo wake kwa Siwema,
kwani tangu aachane naye mambo yamekuwa yakienda kombo ikiwemo ule msala
wa kesi inayoendelea mahakamani ya kujipatia mali isivyo kihalali.
Emmanuel
Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni
ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na maneno ya shombo
aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka silaha
chini akiomba wawe kama zamani.
Mwisho wa jeuri? Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki
‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson anadaiwa kumwangukia mwanamuziki huyo ili
warudiane walee mtoto wao.
No comments:
Post a Comment