ALINIOMBA NIMPIGE PICHA AKIWA UCHI, NA HII SIO MARA YA KWANZA...SIMUELEWI
Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu
yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia, lakini naona
kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada
ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu, siku nyingine
anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha
halafu aendelee na shughuli zake. sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa.
No comments:
Post a Comment